
Regulatory Services
Kaimu Mkemia Mkuu wa Serikali aongoza kikao cha wadau wa kemikali ya Sulphur
Kaimu Mkemia Mkuu wa Serikali, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti, Daniel Ndiyo, ameongoza kikao cha wadau wa kemikali ya Sulphur ili kujadiliana namna bora ya usafirishaji wa kemikali hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina jijini Dar es Salaam Julai 24, 2026.





